EUVIMED · CrossrefJournal
Editon Consortium Journal of Kiswahili
ISSN 2663-9289 · Editon Consortium Publishing
Latest articles
Taswira ya Mwanamke katika Ushairi wa Kiswahili wa Kiisilamu wa Karne ya 21: Uchambuzi wa Shairi la Mahavule na Jamii
Masuala ya Ekolojia katika Bunilizi Teule za Fasihi ya Watoto ya Kiswahili Ikisiri
Mtagusano Jamii kama Mkakati katika Utekelezaji wa Mtaala wa Umilisi katika Somo la Kiswahili Nchini Kenya
Uhawilishaji wa Utamaduni na Mwachano wake katika Tafsiri ya Fasihi: Tathmini ya Athari katika Maisha ya Siri na Hadithi Nyingine
Matumizi ya Mtindo na Mbinu za Lugha katika Nyimbo za Kampeni za Urais Nchini Kenya (2002–2022)
Yaliyomo katika Jukwaa la YouTube kama Wenzo wa Kufundishia Kiswahili katika Elimu ya vyuo vikuu: Ushahidi kutoka Chuo Kikuu cha Kibabii, Kenya
Ishara na Uashiriaji kama Mikakati ya Uchimuzi katika Riwaya za Maundu Mwingizi
Aina za Urejelezi katika Gazeti la Taifa Leo: Mtazamo wa Kipragmatiki
Udhihirikaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu katika Tamthilia ya Shamba la Halaiki (Okello, 2016)
Lugha, Mawasiliano na Mizozo: Mikakati ya Mawasiliano katika Kesi za Mizozo kwenye Mahakama ya Juu ya Mazingira na Ardhi ya Jiji la Kisumu
The influence of school resources on instruction of Kiswahili grammar in Baringo Central Sub-County
Ulinganishi wa matatizo ya kijamii yanayowakumba majagina katika Tendi za Mikidadi na Mayasa na Kalevala
Attitude factors affecting students’ use of short stories in the learning of Kiswahili grammar in secondary schools in Nandi North Sub-County, Kenya
Uchambuzi wa maudhui katika matangazo ya ngono-salama kwenye ukurasa wa shabiki wa Durex Facebook
Tathmini ya kipengele cha taashira za wahusika katika tamthilia ya Kimani Njogu: Mfano wa Zilizala
Itikadi na uwezo wa kijinsia katika nyimbo za Taarab
Uchanganuzi wa maudhui na wahusika kibibliotherapia katika hadithi fupi teule za Kiswahili
Ujitokezaji wa hejemonia katika asasi za kijamii: Mfano wa Dharau ya Ini, Msimu wa Vipepeo, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi
Upambanuzi wa changamoto za vijana kama inavyodhihirika katika riwaya teule za Walibora
Dhima katika mawasiliano ya ushairi wa jando katika jamii ya Watachoni, kaunti ya Bungoma
Usawiri wa ukombozi katika diwani ya Euphrase Kezilahabi ya Kichomi: Mtazamo wa kidhanaishi
Jinsi vipengele vya kitamaduni katika matini teule ya Kiswahili na Kikalenjin vilivyochangia mtafsiri kuiandika upya Bukuit Ne Tilil
Mbinu za lugha zinazotumiwa katika matangazo ya biashara ya kampuni ya safaricom
Namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, kama uteuzi na mpangilio wa maneno, ilivyochangia katika uandishi upya wa Bukuit Ne Tilil
Sifa za kiuhalisiaajabu katika riwaya nne teule za watoto
Falsafa ya jazanda ya uongozi na mauko katika methali za jamii ya Wanyore: Mtazamo wa kisemantiki
Nafasi ya fasihi simulizi katika kuwasilisha ujumbe kisheria: Mfano wa uendeshaji kesi za kitamaduni miongoni mwa Babukusu
Mikondo mipya katika utunzi wa mashairi: Mifano kutoka ‘Sokomoko’ na ‘Ushairi Wenu’ katika gazeti la Taifa Leo
Uchunguzi wa fani za lugha zilivyotumika kuibua changamoto za vijana katika riwaya teule za Kiswahili
Maudhui katika bembelezi za wanawake watikuu nchini Kenya
EUVIMED