EUVIMEDEUVIMED entdecken
Open Access · CC BY-NC-SA 4.0

Namna Matumizi ya Mikakati ya Kutafsiri, Kama Uteuzi Na Mpangilio WA Maneno, Ilivyochangia katika Uandishi Upya WA BukuitNe Tilil

Jane Jepkoech Singoei, Mosol Kandagor, Mwanakombo Mohamed

Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK) · 2022

DOI: 10.51317/eajk.v2i1.105 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK), 2022. Verfasst von Jane Jepkoech Singoei und 2 weiteren Autor:innen. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY-NC-SA 4.0).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Utafiti huu ulidhamiria Kupambanua namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, ilivyochangia katika uandishi upya wa BukuitNe Tilil. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya tafsiri vitendo ambayo ilitumika kubaini jinsi tofauti za kimazingira kati ya hadhira ya matini asilia na ya matini pokezi ilivyopelekea uandishi upya kufanyika wakati wa kutafsiri. Nadharia ya pili ni ya ulinganifu, ambapo matini asilia ililinganishwa na matini pokezi ili kubaini kama ujumbe ulihifadhiwa katika matini tafsiri. Aidha,tamaduni, matumizi ya msamiati na sarufi zililinganishwa kwa kuchunguza mikakati na mbinu zilizotumika kutafsiri matini asilia, na hivyo kubaini uandishi upya katika matini pokezi. Data zilikusanywa kupitia uchunguzi maktabani na vilevile kuwasaili washikadau katika Ofisi ya Utafsiri wa Bibilia ya Kapsabet na Shirika la Kutafsiri Biblia nchini, pamoja na wazungumza lugha ya Kikalenjin ambao walituelekeza juu ya matumizi ya baadhi yamaneno. Usampuli wa kimakusudi ulitumiwa ili kupata data iliyotumika katika uchanganuzi. Kitabu cha Mithalikatika Agano la Kale kiliteuliwa kwa minajili ya utafiti huu.Utafiti huu ulibaini kuwa matumizi ya mikakati ya kutafsiri ilichangia uandishi upya wa kazi tafsiri. Uchunguzi huu ulipendekeza kuwa mashirika ya kufanya tafsiri yaimarishwe kwa kupewa uthamini ili kutafsiri makala nyingi Zaidi.

Zitieren

APA

Singoei, J. J., Kandagor, M., & Mohamed, M. (2022). Namna Matumizi ya Mikakati ya Kutafsiri, Kama Uteuzi Na Mpangilio WA Maneno, Ilivyochangia katika Uandishi Upya WA BukuitNe Tilil. Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK). https://doi.org/10.51317/eajk.v2i1.105

Vancouver

Singoei JJ, Kandagor M, Mohamed M. Namna Matumizi ya Mikakati ya Kutafsiri, Kama Uteuzi Na Mpangilio WA Maneno, Ilivyochangia katika Uandishi Upya WA BukuitNe Tilil. Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK). 2022. doi:10.51317/eajk.v2i1.105

BibTeX
@article{Singoei2022,
  author = {Singoei, Jane Jepkoech and Kandagor, Mosol and Mohamed, Mwanakombo},
  title = {Namna Matumizi ya Mikakati ya Kutafsiri, Kama Uteuzi Na Mpangilio WA Maneno, Ilivyochangia katika Uandishi Upya WA BukuitNe Tilil},
  journal = {Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK)},
  year = {2022},
  doi = {10.51317/eajk.v2i1.105}
}
Kostenlos starten →