EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU

Salama Salem Salama, Mohamed Omary Maguo

Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences · 14.05.2026 · 809-819

DOI: 10.64943/ajhas.2026.020158 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, online erschienen am 14.05.2026. Verfasst von Salama Salem Salama und 1 weiteren Autor:innen.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Mada ya makala haya ni kuchunguza matumizi ya lugha ya tamathali za semi katika Diwani ya Midulu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Simiotiki yenye misimo ya Kihemenitiki, Kimatukio, Kiseme, Kiishara na Kiutamaduni. Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa kimaelezo. Matokeo ya makala haya yamebaini matumizi ya lugha za tamathali za tashibiha, sitiari, tashihisi, jazanda na lugha isiyokuwa ya tafsida.Ufundi wa kisanaa wa kutumika kwa mbinu hizi za tamathali za semi unamfanya mtafiti kuzielewa vizuri dhamira na maudhui ambayo yamefumbatwa katika mashairi ya Diwani ya Midulu.

Zitieren

APA

Salama, S. S., & Maguo, M. O. (2026). MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, 809-819. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020158

Vancouver

Salama SS, Maguo MO. MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences. 2026:809-819. doi:10.64943/ajhas.2026.020158

BibTeX
@article{Salama2026,
  author = {Salama, Salama Salem and Maguo, Mohamed Omary},
  title = {MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU},
  journal = {Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences},
  year = {2026},
  pages = {809--819},
  doi = {10.64943/ajhas.2026.020158}
}
Kostenlos starten →