EUVIMEDEUVIMED entdecken
Open Access · CC BY 4.0

Mikakati ya Utoupole na Uhusika katika Tamthilia ya Pango

Michael Wafula

East African Journal of Swahili Studies · 13.08.2026 · 9 (2) · 214-224

DOI: 10.37284/jammk.9.2.5554 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift East African Journal of Swahili Studies, online erschienen am 13.08.2026. Verfasst von Michael Wafula. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY 4.0).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Utafiti huu ulishughulikia mikakati ya utoupole na uhusika katika tamthilia ya Pango. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza namna mikakati ya utoupole inayotumiwa na wahusika mbalimbali katika tamthilia ya Pango inachangia katika ukuzaji wa sifa zao. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya utoupole ya Culpeper. Utafiti huu ulikuwa wa kithamano na hivyo, ulitekelezwa kwa kutumia mbinu ya kifasili. Sampuli lengwa ilitumiwa katika utafiti huu ambayo ni tamthilia ya Pango. Data ilikusanywa kwa kusoma tamthilia hii na kunakili kauli zilizotumia mikakati ya utoupole halafu ikachanganuliwa kwa kutumia mihimili ya nadharia ya utoupole ya Culpeper. Matokeo yalionyesha kuwa mikakati yote mitano ya nadharia ya utoupole ilitumiwa ili kupujua nyuso za wahusika mbalimbali katika maingiliano yao mbalimbali. Utafiti huu ni muhimu kwa kuwa unaonesha namna utoupole unavyoweza kutumiwa na wahakiki katika kuchimuza sifa za wahusika mbalimbali katika matini za fasihi. Hili linabainisha kuwa zaidi ya kutumia nadharia za fasihi kama vile: ufeministi, umaksi, sosholojia, uhalisia na nyinginezo pia nadharia za semantiki na pragmatiki zinaweza kutumiwa katika kuchanganua kazi za fasihi. Pia, utafiti huu ni muhimu kwa kuwa unaichangizia nadharia ya utoupole kimaarifa. Hali hii itaipanua zaidi kimawanda hasa ikizingatiwa kwamba suala la utoupole halijachunguzwa kwa kina katika fasihi ya Kiswahili.

Zitieren

APA

Wafula, M. (2026). Mikakati ya Utoupole na Uhusika katika Tamthilia ya Pango. East African Journal of Swahili Studies, 9(2), 214-224. https://doi.org/10.37284/jammk.9.2.5554

Vancouver

Wafula M. Mikakati ya Utoupole na Uhusika katika Tamthilia ya Pango. East African Journal of Swahili Studies. 2026;9(2):214-224. doi:10.37284/jammk.9.2.5554

BibTeX
@article{Wafula2026,
  author = {Wafula, Michael},
  title = {Mikakati ya Utoupole na Uhusika katika Tamthilia ya Pango},
  journal = {East African Journal of Swahili Studies},
  year = {2026},
  volume = {9},
  number = {2},
  pages = {214--224},
  doi = {10.37284/jammk.9.2.5554}
}
Kostenlos starten →