EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi

Richard Makhanu Wafula

Kioo cha Lugha · 2023

DOI: 10.4314/kcl.v20i1.4 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Kioo cha Lugha, 2023. Verfasst von Richard Makhanu Wafula. Die Arbeit wurde bisher 1-mal zitiert (Crossref).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1986) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika Karne ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala hii inanuia kuonesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria uchimuzi wa itikadi zinazoratibisha kuwapo kwa nadharia hizo. Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia masuala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.

Zitieren

APA

Wafula, R. M. (2023). Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi. Kioo cha Lugha. https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.4

Vancouver

Wafula RM. Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi. Kioo cha Lugha. 2023. doi:10.4314/kcl.v20i1.4

BibTeX
@article{Wafula2023,
  author = {Wafula, Richard Makhanu},
  title = {Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi},
  journal = {Kioo cha Lugha},
  year = {2023},
  doi = {10.4314/kcl.v20i1.4}
}
Kostenlos starten →