DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI
Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences · 16.06.2026 · 2 (1) · 1152
DOI: 10.64943/ajhas.2026.020182 ↗Kurz gefasst
Fachartikel in der Zeitschrift Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, online erschienen am 16.06.2026. Verfasst von Hamad Jabir Bashir und 1 weiteren Autor:innen.
Abstract (Originalsprache)
Makala haya yanahusu kuchunguza dhamira ya binadamu kutenda wema katika diwani ya Mashairi ya Saadani iliyoandikwa na Saadan Abdu Kandoro mwaka 1972. Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini ambapo walisoma kwa makini diwani ya Mashairi ya Saadani kwa kuzingatia lengo la makala na kuweza kupata data za utafiti. Baada ya kukusanya data hizo za utafiti zilichambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo. Makala yanaonesha kwamba katika diwani ya Mashairi ya Saadani kunawasilishwa dhamira ya kutenda wema ambapo binadamu anasisitizwa kutenda wema hata kwa watu ambao wamemfanyia ubaya kupitia mashairi mawili. Hakika huu ni msisitizo adhimu wa kuonesha umuhimu wa dhamira hii katika jamii.
Zitieren
APA
Bashir, H. J., & Maguo, M. O. (2026). DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, 2(1), 1152. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020182
Vancouver
Bashir HJ, Maguo MO. DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences. 2026;2(1):1152. doi:10.64943/ajhas.2026.020182
BibTeX
@article{Bashir2026,
author = {Bashir, Hamad Jabir and Maguo, Mohamed Omary},
title = {DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI},
journal = {Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences},
year = {2026},
volume = {2},
number = {1},
pages = {1152},
doi = {10.64943/ajhas.2026.020182}
}
EUVIMED