EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE

Arinaitwe Annensia, Mosol Kandagor, Magdaline Wafula

Journal of Kiswahili and Other African Languages · 2022

DOI: 10.58721/jkal.v1i1.94 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Journal of Kiswahili and Other African Languages, 2022. Verfasst von Arinaitwe Annensia und 2 weiteren Autor:innen.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Makala hii inachunguza mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubaini athari ya mabadiliko katika jamii katika ufasiri wa maana na matumizi ya methali za kijinsia miongoni mwa Wanyankole nchini Uganda. Mbinu za mahojiano zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulihusisha methali kumi na tano za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Uteuzi huo ulifanywa kimaksudi kwa sababu utafiti ulilenga kuchanganua methali zilizohusu jinsia za kike na kiume katika jamii ya Wanyankole. Nadharia ya Udenguzi ilitumika katika uchanganuzi wa data. Matokeo ya utafiti huu yalibainisha kuwa kadri ulimwengu unavyobadilika ndivyo jamii ya Wanyankole inavyobadilika hivyo basi mabadiliko haya yameathiri ufasiri wa maana katika methali za kijinsia za Wanyankole. Vilevile ilibainika kuwa jamii ya jadi inafasiri na kuzitumia baadhi ya methali tofauti na jamii ya kisasa. Makala hii inapendekeza kuwa baadhi ya methali zinafaa kurejelewa upya kiufasiri, kimuundo na kimatumizi ili uamilifu wake uwiane na jamii ya kisasa.

Zitieren

APA

Annensia, A., Kandagor, M., & Wafula, M. (2022). MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE. Journal of Kiswahili and Other African Languages. https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.94

Vancouver

Annensia A, Kandagor M, Wafula M. MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE. Journal of Kiswahili and Other African Languages. 2022. doi:10.58721/jkal.v1i1.94

BibTeX
@article{Annensia2022,
  author = {Annensia, Arinaitwe and Kandagor, Mosol and Wafula, Magdaline},
  title = {MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE},
  journal = {Journal of Kiswahili and Other African Languages},
  year = {2022},
  doi = {10.58721/jkal.v1i1.94}
}
Kostenlos starten →