EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

Uathirianomatini wa Kimtindo katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona”

Ali H. Chembea, Furaha J. Chai, Rocha M. Chimerah

Jarida la Kiswahili · 2023

DOI: 10.56279/jk.v86i1.5 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Jarida la Kiswahili, 2023. Verfasst von Ali H. Chembea und 2 weiteren Autor:innen.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Bakhtin (1981) anaeleza kwamba matini za kifasihi huathiriana na kuhusiana. Kila matini ya kifasihi ina sauti zinazoingiliana na kuhusiana na matini nyingine zilizopo, zilizopita au zijazo. Hata hivyo, Bakhtin haoni kama ushairi una uathiriano na ushairi mwingine sawia kama inavyojitokeza katika riwaya. Baadhi ya wataalamu waliohakiki “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona” wanadai kuwa tenzi hizi zimeathiriana. Makala hii inalenga kudhihirisha uathirianomatini wa kimtindo kati ya “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona” katika ushairi wa Kiswahili. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Usemezano ya Bakhtin. Ingawa, kwa mujibu wa nadharia hiyo, riwaya ndio utanzu unaotegemea zaidi uathiriano na matini nyingine kuliko ushairi, makala hii inapanua mawanda yake kwa kuchunguza uathiriano wa kimtindo katika ushairi. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwapo kwa uathiriano wa muundo, msamiati, majibizano na tamathali za semi.

Zitieren

APA

Chembea, A. H., Chai, F. J., & Chimerah, R. M. (2023). Uathirianomatini wa Kimtindo katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona”. Jarida la Kiswahili. https://doi.org/10.56279/jk.v86i1.5

Vancouver

Chembea AH, Chai FJ, Chimerah RM. Uathirianomatini wa Kimtindo katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona”. Jarida la Kiswahili. 2023. doi:10.56279/jk.v86i1.5

BibTeX
@article{Chembea2023,
  author = {Chembea, Ali H. and Chai, Furaha J. and Chimerah, Rocha M.},
  title = {Uathirianomatini wa Kimtindo katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona”},
  journal = {Jarida la Kiswahili},
  year = {2023},
  doi = {10.56279/jk.v86i1.5}
}
Kostenlos starten →