EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984)

Aneth Kasebele

Jarida la Kiswahili · 2023

DOI: 10.56279/jk.v86i1.4 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Jarida la Kiswahili, 2023. Verfasst von Aneth Kasebele.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Makala hii inachunguza dhima ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio. Tafiti kuhusu matumizi ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio zimeishia katika ngazi ya kubainisha tu pasi na kuchambua dhima zake. Kitendo cha kubainisha tu bila kuchambua dhima za ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio hakioneshi umuhimu wa kipengele hicho cha kifasihi simulizi katika kazi za fasihi andishi. Data za makala hii zilipatikana maktabani kwa kusoma tamthiliya ya Lina Ubani kisha kuchambua dhima ya ngoma. Uchambuzi wa data za makala hii umeongozwa na Nadharia ya Uamilifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa ngoma ina dhima za kifani na kimaudhui katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio.

Zitieren

APA

Kasebele, A. (2023). Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984). Jarida la Kiswahili. https://doi.org/10.56279/jk.v86i1.4

Vancouver

Kasebele A. Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984). Jarida la Kiswahili. 2023. doi:10.56279/jk.v86i1.4

BibTeX
@article{Kasebele2023,
  author = {Kasebele, Aneth},
  title = {Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984)},
  journal = {Jarida la Kiswahili},
  year = {2023},
  doi = {10.56279/jk.v86i1.4}
}
Kostenlos starten →