EUVIMEDEUVIMED entdecken
Open Access · CC BY-NC-SA 4.0

Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii ya Wakamba: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Makueni, Kenya

Peninah Mwende Musyoki, Vifu Makoti, John Mutua

Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences · 14.04.2024 · 8 (1)

DOI: 10.58256/crqt7f28 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences, online erschienen am 14.04.2024. Verfasst von Peninah Mwende Musyoki und 2 weiteren Autor:innen. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY-NC-SA 4.0).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Makala hii inachanguza vigezo vya utoaji wa toponemia katika jamii ya Wakamba kwa kurejelea mfano kutoka Jimbo dogo la Makueni nchini Kenya. Data iliyotumika ilikusanywa kutoka kata zote kumi na moja (11) za jimbo dogo la Makueni. Data hiyo ilipatikana kutoka kwa wasailiwa ishirini na wawili (22) waliokuwa na umri wa miaka sitini (60) na zaidi. Wazee hao walichaguliwa kwa usampuli nasibu. Sampuli hii ya wazee ilipatikana kwa urahisi kwa kuwa majina ya wazee hao yamehifadhiwa katika ofisi za machifu kwa sababu ya rekodi za marupurupu ya uzeeni wanayopokea kutoka kwa serikali kuu. Uchunguzi huu ulibaini kuwa toponemia katika eneo teule zilitolewa kwa kuzingatia vigezo kama vile sifa za kimaumbile, shughuli za kijamii, matukio ya kihistoria na vingine. Kazi hii itatoa marejeleo muhimu kwa watafiti wa baadaye watakaoshughulikia vipengele tofauti vya Onomastiki katika jamii ya Wakamba na jamii nyingine.

Zitieren

APA

Musyoki, P. M., Makoti, V., & Mutua, J. (2024). Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii ya Wakamba: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Makueni, Kenya. Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences, 8(1). https://doi.org/10.58256/crqt7f28

Vancouver

Musyoki PM, Makoti V, Mutua J. Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii ya Wakamba: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Makueni, Kenya. Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences. 2024;8(1). doi:10.58256/crqt7f28

BibTeX
@article{Musyoki2024,
  author = {Musyoki, Peninah Mwende and Makoti, Vifu and Mutua, John},
  title = {Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii ya Wakamba: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Makueni, Kenya},
  journal = {Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences},
  year = {2024},
  volume = {8},
  number = {1},
  doi = {10.58256/crqt7f28}
}
Kostenlos starten →