EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya

Joseph Nyehita Maitaria

Kioo cha Lugha · 2023

DOI: 10.4314/kcl.v20i1.1 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Kioo cha Lugha, 2023. Verfasst von Joseph Nyehita Maitaria.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Methali hutokana na utamaduni wa watu na hutumika katika kuibulia na kuelekezea busara ya wenyeji. Aidha, methali za Kiswahili zimeshirikisha methali za jamii mbalimbali za Afrika Mashariki. Kwa sababu hii, zina mtazamo unaovuka mipaka ya jamii moja. Kwa hali hiyo, methali za Kiswahili ni mwavuli unaohifadhi na unaoibulia utamaduni asilia wa wenyeji. Methali hizo hutekeleza dhima ya uashiriaji, uelezaji na uelekezaji kuhusu maisha kwa kuzingatia „undani‟ na „upana‟ wa Wakenya kama jamii moja. Data za makala hii zilitokana na methali zilizohifadhiwa katika vitabu vya methali za Kiswahili zilizokusanywa kutoka kwa wanajamii wa Kenya. Methali hizo zilipata maelezo ya wanajamii wa Kenya. Kadhalika, wataalamu wa lugha na wahakiki wa fasihi walihojiwa ili kupata fasiri za kiujumla kuhusu methali. Katika uchanganuzi wa data, Nadharia ya Semiotiki imetumika kubainishia viashiria na viashiriwa vya kiutamaduni katika jamii za Wakenya. Kwa hivyo, makala hii inaeleza namna methali hizo zinavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi kwa jamii za Kenya.

Zitieren

APA

Maitaria, J. N. (2023). Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya. Kioo cha Lugha. https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.1

Vancouver

Maitaria JN. Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya. Kioo cha Lugha. 2023. doi:10.4314/kcl.v20i1.1

BibTeX
@article{Maitaria2023,
  author = {Maitaria, Joseph Nyehita},
  title = {Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya},
  journal = {Kioo cha Lugha},
  year = {2023},
  doi = {10.4314/kcl.v20i1.1}
}
Kostenlos starten →