USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID
Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences · 13.05.2026 · 767-774
DOI: 10.64943/ajhas.2026.020155 ↗Kurz gefasst
Fachartikel in der Zeitschrift Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, online erschienen am 13.05.2026. Verfasst von Abdulrahaman Fayz Baheeri und 1 weiteren Autor:innen.
Abstract (Originalsprache)
Makala haya yanahusu usawiri chanya wa mwanamke katika nyimbo za taarab za Bakari Abeid. Lengo kuu la makala lilikuwa ni kutaka kuchunguza namna mwanamke anavyosawiriwa katika hali chanya katika nyimbo za taarab za msanii maarufu za nyimbo za taarab anayefahamika kwa jina la Bakari Abeid. Makala yalikusanya data kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo na nadharia ya Ufeministi. Usawiri chanya wa mwanamke katika nyimbo za taarab za Bakari Abeid umejitokeza katika maeneo ya mwanamke kiumbe mwenye umbo zuri, mwanamke kiumbe mwenye msimamo, mwanamke kiumbe mwenye mapenzi ya kweli na mwanamke ni mtunza siri.
Zitieren
APA
Baheeri, A. F., & Maguo, M. O. (2026). USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences, 767-774. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020155
Vancouver
Baheeri AF, Maguo MO. USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID. Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences. 2026:767-774. doi:10.64943/ajhas.2026.020155
BibTeX
@article{Baheeri2026,
author = {Baheeri, Abdulrahaman Fayz and Maguo, Mohamed Omary},
title = {USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID},
journal = {Al-imad Journal of Humanities and Applied Sciences},
year = {2026},
pages = {767--774},
doi = {10.64943/ajhas.2026.020155}
}
EUVIMED