EUVIMEDEUVIMED entdecken
Open Access · CC BY-NC-SA 4.0

Uhusiano wa Lugha na Tabaka: Uchanganuzi wa Riwaya za Kuli na Pendo la Karaha

Virginia Wambui Mwathi, Vifu Makoti, John Mutua

Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences · 13.04.2024 · 8 (1)

DOI: 10.58256/qkmf2486 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences, online erschienen am 13.04.2024. Verfasst von Virginia Wambui Mwathi und 2 weiteren Autor:innen. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY-NC-SA 4.0).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Makala hii inachunguza uhusiano uliopo kati ya lugha na tabaka kwa mujibu wa riwaya za Kuli (Shafi, 1979) na Pendo la Karaha (Habwe, 2014). Lugha ina jukumu muhimu katika jamii ambalo ni kufanikisha mawasiliano; hutumika kuwasilisha habari na hisia za watu. Kando na kuwa chombo cha mawasiliano, lugha hutambulisha: eneo atokalo mtu, cheo chake, na kadhalika. Vilevile, lugha huonyesha mahusiano ni ya aina gani baina ya wazungumzaji, jinsia na tabaka la mzungumzaji. Jamii tuliyomo ina mfumo wa kiuchumi ambao umegawa watu katika matabaka tofauti kulingana na uwezo wao wa kumiliki na kudhibiti njia za uzalishaji mali. Matabaka haya hayakosi kutangamana katika mchakato wa kutafuta riziki. Yanapotangamana, sharti lugha itumike. Kwa hivyo, katika makala hii, tutadadisi aina ya mazungumzo ya mtu ambayo humweka ama katika tabaka la juu au la chini.

Zitieren

APA

Mwathi, V. W., Makoti, V., & Mutua, J. (2024). Uhusiano wa Lugha na Tabaka: Uchanganuzi wa Riwaya za Kuli na Pendo la Karaha. Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences, 8(1). https://doi.org/10.58256/qkmf2486

Vancouver

Mwathi VW, Makoti V, Mutua J. Uhusiano wa Lugha na Tabaka: Uchanganuzi wa Riwaya za Kuli na Pendo la Karaha. Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences. 2024;8(1). doi:10.58256/qkmf2486

BibTeX
@article{Mwathi2024,
  author = {Mwathi, Virginia Wambui and Makoti, Vifu and Mutua, John},
  title = {Uhusiano wa Lugha na Tabaka: Uchanganuzi wa Riwaya za Kuli na Pendo la Karaha},
  journal = {Nairobi Journal of Humanities and Social Sciences},
  year = {2024},
  volume = {8},
  number = {1},
  doi = {10.58256/qkmf2486}
}
Kostenlos starten →