EUVIMEDEUVIMED entdecken
Crossref

Uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama Ilivyobainishwa katika Fasihi ya Kiswahili

Wael Nabil Ibrahim Othman

Jarida la Kiswahili · 2022

DOI: 10.56279/jk.v85i1.14 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift Jarida la Kiswahili, 2022. Verfasst von Wael Nabil Ibrahim Othman.

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Makala hii inalenga kuangazia uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama ilivyobainishwa katika fasihi ya Kiswahili. Ili kufikia lengo hilo, makala hii imegawanywa katika sehemu kuu tano. Sehemu ya kwanza ni utangulizi ambao unaonesha lengo la makala hii na data zake zilizokusanywa kutoka katika fasihi simulizi na andishi ya Kiswahili. Sehemu ya pili inafafanua Nadharia ya Uhistoria Mpya iliyotumika katika makala haya. Sehemu ya tatu inajadili historia ya uhusiano wa China na Afrika Mashariki, vipindi ulivyopitia na nyanja zake kwa jumla. Sehemu ya nne ambayo ndiyo kiini cha makala haya, inaeleza uhusiano wa China na Afrika Mashariki kupitia tanzu za fasihi ya Kiswahili. Sehemu ya tano ni hitimisho ambalo linaelezea kwa muhtasari matokeo ya uchunguzi wa makala hii.

Zitieren

APA

Othman, W. N. I. (2022). Uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama Ilivyobainishwa katika Fasihi ya Kiswahili. Jarida la Kiswahili. https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.14

Vancouver

Othman WNI. Uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama Ilivyobainishwa katika Fasihi ya Kiswahili. Jarida la Kiswahili. 2022. doi:10.56279/jk.v85i1.14

BibTeX
@article{Othman2022,
  author = {Othman, Wael Nabil Ibrahim},
  title = {Uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama Ilivyobainishwa katika Fasihi ya Kiswahili},
  journal = {Jarida la Kiswahili},
  year = {2022},
  doi = {10.56279/jk.v85i1.14}
}
Kostenlos starten →