Mchango wa Asasi Mbalimbali Katika Kusuluhisha Mizozo ya Ardhi: Tathmini ya Riwaya ya Kovu Moyoni (Habwe, 2014)
Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK) · 16.11.2026 · 5 (1) · 200-212
DOI: 10.51317/ghccds82 ↗Kurz gefasst
Fachartikel in der Zeitschrift Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK), online erschienen am 16.11.2026. Verfasst von Mary K. Njeru. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY-NC-SA 4.0).
Abstract (Originalsprache)
Makala hii ilichunguza namna asasi mbalimbali zinavyoshiriki katika kuzuia, kudhibiti na kusuluhisha mizozo ya ardhi, pamoja na kujenga upya jamii baada ya migogoro, kama inavyowasilishwa katika riwaya ya Kovu Moyoni (Habwe, 2014). Mizozo ya ardhi nchini Kenya ina mizizi ya kihistoria inayohusishwa na unyakuzi wa ardhi wakati wa ukoloni, mifumo ya umiliki isiyo sawa na matumizi ya ardhi katika ushindani wa kisiasa. Kwa kutumia muundo wa kimaelezo na uchanganuzi wa matini, data ilikusanywa kwa kusoma riwaya kwa kina, kutambua na kuteua dondoo zinazohusu asasi mbalimbali na kuzipanga katika mada za serikali na vyombo vya usalama, mahakama, viongozi wa kisiasa, taasisi za kidini, mashirika yasiyo ya serikali, vyombo vya habari, wapatanishi na mchango wa wananchi. Uchanganuzi uliongozwa na Nadharia ya Baadaukoloni ukizingatia mihimili ya urithi wa ukoloni, mamlaka na unyonyaji, pamoja na upinzani na ukombozi. Matokeo yanaonyesha kuwa asasi hizi zina majukumu tofauti: baadhi huzuia au kudhibiti vurugu, nyingine husaidia waathiriwa na nyingine hushiriki katika upatanishi na ujenzi upya wa jamii. Hata hivyo, uzembe, matumizi mabaya ya mamlaka na maslahi ya kisiasa hudhoofisha juhudi hizo. Makala hii inachangia katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili kwa kuonyesha jinsi riwaya inavyowakilisha kwa pamoja uwezo na mipaka ya asasi katika kushughulikia mizozo ya ardhi.
Zitieren
APA
Njeru, M. K. (2026). Mchango wa Asasi Mbalimbali Katika Kusuluhisha Mizozo ya Ardhi: Tathmini ya Riwaya ya Kovu Moyoni (Habwe, 2014). Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK), 5(1), 200-212. https://doi.org/10.51317/ghccds82
Vancouver
Njeru MK. Mchango wa Asasi Mbalimbali Katika Kusuluhisha Mizozo ya Ardhi: Tathmini ya Riwaya ya Kovu Moyoni (Habwe, 2014). Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK). 2026;5(1):200-212. doi:10.51317/ghccds82
BibTeX
@article{Njeru2026,
author = {Njeru, Mary K.},
title = {Mchango wa Asasi Mbalimbali Katika Kusuluhisha Mizozo ya Ardhi: Tathmini ya Riwaya ya Kovu Moyoni (Habwe, 2014)},
journal = {Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK)},
year = {2026},
volume = {5},
number = {1},
pages = {200--212},
doi = {10.51317/ghccds82}
}
EUVIMED