Misingi ya matumizi ya wakaa katika usimulizi wa riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile
Kioo cha Lugha · 2023
DOI: 10.4314/kcl.v20i2.8 ↗Kurz gefasst
Fachartikel in der Zeitschrift Kioo cha Lugha, 2023. Verfasst von Athumani S. Ponera und 1 weiteren Autor:innen.
Abstract (Originalsprache)
Makala hii inajadili kuhusu wakaa kama kipengele cha kibunilizi katika utunzi wa kazi za fasihi. Shabaha kuu ni kufafanua misingi iliyomwongoza mwandishi kutumia wakaa kwa jinsi inavyodhihirika katika kazi teule. Nadharia ya Umuundo imetumika kama kiunzi cha kukusanyia data pamoja na kuendeshea mjadala wa makala. Data za makala hii zilipatikana kwa kutumia njia ya udurusu wa nyaraka. Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa, ujenzi wa wakaa katika kazi teule umeegemea katika misingi ya kiutamaduni, kipokezi na kitajiriba.
Zitieren
APA
Ponera, A. S., & Kinga, J. (2023). Misingi ya matumizi ya wakaa katika usimulizi wa riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile. Kioo cha Lugha. https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.8
Vancouver
Ponera AS, Kinga J. Misingi ya matumizi ya wakaa katika usimulizi wa riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile. Kioo cha Lugha. 2023. doi:10.4314/kcl.v20i2.8
BibTeX
@article{Ponera2023,
author = {Ponera, Athumani S. and Kinga, Jasmine},
title = {Misingi ya matumizi ya wakaa katika usimulizi wa riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile},
journal = {Kioo cha Lugha},
year = {2023},
doi = {10.4314/kcl.v20i2.8}
}
EUVIMED