EUVIMEDEUVIMED entdecken
Open Access · CC BY 4.0

Upambanuzi wa Utekelezwaji wa Yaliyomo katika Hati za Kitaaluma Darasani Nchini Kenya

Alice Ayuma Wanyonyi, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo

East African Journal of Swahili Studies · 29.07.2026 · 9 (2) · 92-100

DOI: 10.37284/jammk.9.2.5440 ↗

Kurz gefasst

Fachartikel in der Zeitschrift East African Journal of Swahili Studies, online erschienen am 29.07.2026. Verfasst von Alice Ayuma Wanyonyi und 2 weiteren Autor:innen. Der Volltext ist frei zugänglich (Open Access, CC BY 4.0).

AbstractBibliografische AngabenZitierenVerwandte Studien

Abstract (Originalsprache)

Utekelezwaji wa somo darasani ni muhimu katika taaluma ya ualimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya inasisitiza umuhimu wa maandalizi ya somo kabla ya utekelezaji wake darasani. Hata hivyo, tafiti za awali katika masomo kama vile Kiingereza, Hisabati na Biashara zimebaini kuwa, utekelezaji wa somo darasani haujafanywa ipasavyo. Lengo la makala haya lilikuwa kupambanua utekelezaji wa yaliyomo katika hati za kitaaluma darasani nchini Kenya. Utafiti huu ulikuwa wa mkabala mseto na ulizingatia muundo wa kimfano. Mbinu za kukusanya data zilikuwa: Hojaji, uchanganuzi wa nyaraka na uchunzaji. Sampuli ya utafiti ni washiriki 324. Usampulishaji ulikuwa wa kimaksudi, kitabakishi na kinasibu katika uteuzi wa wango. Matokeo yanaeleza utekelezaji katika yaliyomo kwenye hati za kitaaluma za shule za junia nchini Kenya hivyo, kuhimiza uboreshaji wake. Matokeo haya yanaibua udhaifu uliopo sasa na hivyo, kutoa mapendekezo yafaayo kuzingatiwa ili kuziba mapengo hayo

Zitieren

APA

Wanyonyi, A. A., Wamalwa, E. W., & Kevogo, S. A. (2026). Upambanuzi wa Utekelezwaji wa Yaliyomo katika Hati za Kitaaluma Darasani Nchini Kenya. East African Journal of Swahili Studies, 9(2), 92-100. https://doi.org/10.37284/jammk.9.2.5440

Vancouver

Wanyonyi AA, Wamalwa EW, Kevogo SA. Upambanuzi wa Utekelezwaji wa Yaliyomo katika Hati za Kitaaluma Darasani Nchini Kenya. East African Journal of Swahili Studies. 2026;9(2):92-100. doi:10.37284/jammk.9.2.5440

BibTeX
@article{Wanyonyi2026,
  author = {Wanyonyi, Alice Ayuma and Wamalwa, Eric W. and Kevogo, Stanley Adika},
  title = {Upambanuzi wa Utekelezwaji wa Yaliyomo katika Hati za Kitaaluma Darasani Nchini Kenya},
  journal = {East African Journal of Swahili Studies},
  year = {2026},
  volume = {9},
  number = {2},
  pages = {92--100},
  doi = {10.37284/jammk.9.2.5440}
}
Kostenlos starten →